TAARIFA: TUMEKAMILISHA MATOKEO YA MWISHO WA MWAKA.
Habari za makujukumu wazazi na walezi.
Tunapenda kuwajulisha tumekamilisha matokeo ya mwisho wa mwaka na taarifa mbalimbali kwa wanafunzi wa kidato cha Kwanza, Tatu na Terminal kidato cha Sita.
Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukamalisha kwa wakati.